RAPPER NLE CHOPPA AZICHAPA NA SHABIKI WA NBA YOUNGBOY BAADA KURUSHIANA MANENO MAKALI WAKIWA AIRPORT

RAPPER NLE CHOPPA AZICHAPA NA SHABIKI WA NBA YOUNGBOY BAADA KURUSHIANA MANENO MAKALI WAKIWA AIRPORT

Rapa NLE Choppa kutoka nchini Marekani wamerushiana makonde na shabiki wa rapa NBA YoungBoy baada ya kuingia kwenye ugomvi  wakiwa uwanja wa ndege. Inasemekana kuwa ngumi ya kichwa na ya shingo vilitosha kumuangusha chini shabiki huyo ambaye alibamiza kichwa chini baada ya kuanguka na kulala hapo hapo. Sababu ya ugomvi huo inasemekana kuwa ni baada […]

Read More