Grandpa Records kurejelea tena shughuli zake za muziki mwaka 2023
Muasisi wa Grandpa Records Noah Yusuf maarufu kama Refigah amedokeza mpango wa kuzindua rasmi lebo hiyo ambayo ilikuwa imesitisha huduma zake kutokana na changamoto za kifedha. Kwenye mahojiano na SPM Buzz amesema ameiteua timu mpya ambayo itasimamia shughuli za lebo hiyo mwakani, hivyo hatajihusisha na kazi za lebo hiyo kwa kuwa ataelekeza nguvu zake kwenye […]
Read More