Nonini Akosolewa Mitandaoni kwa Mtindo Wake Mpya wa Uimbaji

Nonini Akosolewa Mitandaoni kwa Mtindo Wake Mpya wa Uimbaji

Msanii mkongwe wa muziki wa Genge, Nonini, anakumbwa na ukosoaji mkali mitandaoni baada ya kupakia video ya nyuma ya pazia (behind-the-scenes) ya wimbo mpya kutoka kwenye albamu yake inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni. Video hiyo, iliyochapishwa kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ilimuonesha Nonini akiwa studio akiimba kwa mtindo wake wa kipekee wa Genge huku […]

Read More
 Nonini kuiburuza mahakamani kampuni ya Synix Electronics.

Nonini kuiburuza mahakamani kampuni ya Synix Electronics.

Msanii mkongwe nchini Nonini ametangaza tarehe rasmi ya kuanza kwa kesi yake dhidi ya Kampuni moja ya Kijapani inayojishughulisha ya uuzaji wa bidhaa za kielektroniki, Synix Electronics. Nonini ambaye amekuwa Mhubiri wa somo la hakimiliki kwa wasanii wa Kenya, ameweka wazi kuwa tarehe ya kupanda kizimbani na kuanza kucharuana na Kampuni hiyo, ni Machi 23 […]

Read More
 NONINI AFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA BRIAN MUTINDA

NONINI AFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA BRIAN MUTINDA

Mwanamuziki wa Kenya anayeishi Marekani Hubert Nakitare maarufuka kama  “Nonini” amefungulia mashtaka mwanamitandao Brian Mutinda na kampuni ya kieletroniki ya Syinix. Hii ni baada ya mwanamitandao huyo kutumia wimbo wake wa “We Kamu” kwenye matangazo ya kibiashara kwenye mitandao ya kijamii bila idhini yake. Kulingana na shtaka hilo lilofunguliwa katika mahakama ya milimani jijini Nairobi, […]

Read More
 NONINI AJIUNGA RASMI NA CHAMA CHA ASCAP YA NCHINI MAREKANI

NONINI AJIUNGA RASMI NA CHAMA CHA ASCAP YA NCHINI MAREKANI

Mwanamuziki mkongwe Nonini ameikimbia Kenya na kuamua kutafuta mapato ya muziki wake nchini Marekani. Kupitia ukurasa wake wa instagram noni ametangaza rasmi kuwa amejiunga na American Society of Composers, Authors and Publishers (ASCAP) Chama kinacholinda Hakimiliki za Waandishi wa nyimbo na Watayarishaji kikiwa na zaidi ya memba 850,000. Nonini amekuwa akiishi nchini Marekani ambapo alianzisha […]

Read More
 NONINI AJIONDOA KAMA MWANACHAMA WA MCSK

NONINI AJIONDOA KAMA MWANACHAMA WA MCSK

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Nonini ametangaza kujiondoa kama mwanachama wa chama cha muziki na hakimiliki nchini MCSK. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nonini amechapisha barua inaonesha kuwa ombi lake kujitoa kama mwanachama wa chama cha muziki na hakimiliki nchini MCSK imekubaliwa huku akithibitisha kuwa hatakuwa anapokea mirabaha ya muziki wake kutoka kwa chama hicho. […]

Read More