Manchester City Kumnasa Kiungo Chipukizi wa Norway kwa Shilingi Bilioni 2
Klabu ya Manchester City ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo wa kati kutoka Norway, Sverre Halseth Nypan, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kuwa Euro milioni 15, sawa na takribani Shilingi bilioni 2.1 za Kenya. Nypan, ambaye ana umri wa miaka 18, anatokea katika klabu ya Rosenborg BK ya Norway, ambako amecheza tangu […]
Read More