NICK MINAJ AMSHTAKI YOUTUBER NOSEY HEAUX KWA KUMCHAFUA MTANDAONI
Rapa kutoka Marekani Nicki Minaj amemfungulia mashtaka mtengeneza maudhui ya YouTube (Marley Green) maarufu kama Nosey Heaux mara baada ya kuibua madai kuwa rapa huyo anatumia dawa za kulevya. Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama, Nicki Minaj amedai Nosey alipakia video hiyo juzi Jumatatu na kumchafua kwa shutuma hizo ikiwemo pia kumtaja mtoto wake wa […]
Read More