NOTI FLOW KUMSHTAKI MPENZI WAKE WA ZAMANI KWA TUHUMU ZA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Msanii wa kike nchini Noti flow amefungulia mashataka aliyekuwa mpenzi wake wa zamani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Noti Flow amesema licha ya kwamba alimsamehe mpenzi wake huyo, lazima sheria ichukue mkondo wake ikizingatiwa kuwa tayari alikuwa amefungua shauri mahakamani. Hitmaker huyo “Foto Moto” amesema kwamba yeye kama kielelezo […]
Read More