Noti Flow Asema Wafuasi Laki 2 Walimkimbia Baada Kukataa Uchumba wa Mustafa
Msanii wa muziki kutoka Kenya Noti Flow amefunguka kuhusu jinsi ombi la ndoa la ghafla kutoka kwa msanii mwenzake Colonel Mustafa lilivyotikisa maisha yake binafsi. Kupitia instastory yake, Noti Flow amesema tukio hilo, lililotokea hadharani kwenye kipindi cha Obinna TV Live, lilipelekea kuvunjika kwa uhusiano wake wa wakati huo pamoja na kupoteza zaidi ya wafuasi […]
Read More