RAPPER NOTI FLOW AMZAWADI MPENZI WAKE KING ALAMI GARI JIPYA

RAPPER NOTI FLOW AMZAWADI MPENZI WAKE KING ALAMI GARI JIPYA

Female rapper kutoka Kenya Noti Flow ameamua kutoonyesha zawadi ambayo amemnunullia mpenzi wake mwanadada King Alami wakati huu anaelekea kusherekea kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Machi 25. Kupitia ukarasa wake wa Instagram Hitmaker huyo wa ngoma ya “Photo Moto” ametusanua kwamba amemzawadi mpenzi wake King Alami gari jipya yenye thamani ya shillingi millioni 1.5 kutokana na […]

Read More