Djokovic afuzu fainali Australia
Nyota Novak Djokovic anataraji kupambana na Mmarekani Sebastian Korda kwenye mchezo wa fainali ya shindano la tenisi la Adelaide International itakayochezwa mnamo Jumapili ya Januari 08-2023 nchini Australia Djokovic amefuzu kucheza fainali baada ya kumfunga Mrusi Daniil Medvedev kwa seti 2-0 yaani 6-3 6-4 huku shindano hilo ni maalumu kwa ajili ya kujiandaa na Michuano ya Wazi ya Australia yanayotaraji kuanza Januari 16 mpaka 29-2023 kwenye viwanja vya Melbourne Park nchini Australia
Read More