Samidoh Aingia Matatani Baada ya Kushiriki Nderemo za ‘Wantam’ Klabuni
Mwanamuziki na afisa wa polisi, Konstebo Samuel Muchoki almaarufu Samidoh, anaripotiwa kuwa katika hatari ya kupoteza ajira yake baada ya kushiriki nderemo na vifijo vya “Wantam” akiwa kwenye klabu ya burudani. Kwa mujibu wa Huduma ya Polisi Nchini (NPS), Samidoh anadaiwa kukiuka mwongozo rasmi unaodhibiti mwenendo wa maafisa wa polisi, hata wanapokuwa nje ya majukumu […]
Read More