Kundi la NSG lakanusha madai ya kuwadhalalisha Wakenya kwenye ziara yao ya muziki

Kundi la NSG lakanusha madai ya kuwadhalalisha Wakenya kwenye ziara yao ya muziki

Kundi la muziki la Uingereza NSG limekanusha madai kuwa liliwavunjia heshima Wakenya usiku wa kuamkia Desemba 2022 wakiwa kwenye harakati za kutafuta chakula cha jioni. Kupitia ukurasa wao wa Twitter NSG imedai kuwa mtu aliyekuwa kwenye video iliyosambaa mtandaoni hakuwa sehemu ya timu yao huku wakisema wanawaheshimu sana Wakenya kwa kuwa wanapata uungwaji mkubwa kwenye […]

Read More