Nuh Mziwanda: nimeshindwa kuachia EP kwa kukosa usimamizi
Mwanamuziki wa Bongofleva, Nuh Mziwanda ameshangazwa na kitendo cha baadhi ya wasanii kuachana na Lebo zao za muziki wakati wapo wengi wanaotafuta nafasi hiyo na kuikosa. Nuh ameenda mbali zaidi na kusema kuwa ameshindwa hata kuachia EP (Extended Playlist) yake kutokana na kukosa usimamizi. “Mimi Nilitangaza Kuachia EP ila Mpaka sasa ishakua BP kwangu mana […]
Read More