Nviiri The Storyteller Aunga Mkono Marufuku ya Matangazo ya Pombe
Msanii Nviiri The Storyteller ameunga mkono pendekezo la Mamlaka ya Kudhibiti Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) kuwapiga marufuku wasanii na watu maarufu kutangaza bidhaa za pombe. Kupitia ujumbe wake kwa umma, Nviiri amefichua kuwa aliwahi kushiriki kampeni ya matangazo ya pombe mtaani Kayole Jijini Nairobi, lakini baadaye alijutia uamuzi wake huo baada […]
Read More