Nyashinski Atangaza Tarehe Rasmi ya Albamu Mpya “Yariasu”

Nyashinski Atangaza Tarehe Rasmi ya Albamu Mpya “Yariasu”

Mwanamuziki nguli wa Kenya, Nyashinski, amethibitisha kuwa albamu yake mpya itajulikana kwa jina “Yariasu” na itaingia sokoni tarehe 19 Septemba 2025. Albamu hiyo inabeba jumla ya nyimbo 13, ambazo msanii huyo amezitaja kuwa za moto na zimeandaliwa kwa ubora wa kimataifa. Kupitia mitandao ya kijamii, Nyashinski amewataka mashabiki wake kufanya pre-order ya albamu hiyo mtandaoni […]

Read More
 Nyashinski Atangaza Album Mpya ya Kiwango cha Kimataifa

Nyashinski Atangaza Album Mpya ya Kiwango cha Kimataifa

Mwanamuziki kutoka Kenya, Nyashinski, ametangaza ujio wa album yake mpya ambayo kwa mujibu wake itakuwa na kiwango cha kimataifa. Akizungumza kuhusu mradi huo, Nyashinski amesema kuwa kwa muda mrefu amekuwa akiwaburudisha mashabiki wa Afrika Mashariki kupitia nyimbo zake, lakini sasa ameamua kupeleka muziki wake kwenye jukwaa la dunia. Msanii huyo amefichua kuwa amekuwa akirekodi album […]

Read More
 Nyashinski Asaini Mkataba wa Kihistoria na Sony Music

Nyashinski Asaini Mkataba wa Kihistoria na Sony Music

Mwanamuziki nyota wa Kenya, Nyashinski, amesaini mkataba wa kihistoria na kampuni kubwa ya muziki duniani, Sony Music, hatua inayotajwa kama msukumo mkubwa kwa muziki wa Afrika Mashariki kuingia kwenye jukwaa la kimataifa. Sony Music imemsifu Nyashinski kama msanii halisi na mwenye vipaji vingi ambaye muziki wake wa kipekee unaweza kugusa watu wa tamaduni mbalimbali. Kampuni […]

Read More
 Toxic Lyrikali Apata Baraka za Nyashinski Baada ya Mafanikio ya ‘Cartman’ YouTube

Toxic Lyrikali Apata Baraka za Nyashinski Baada ya Mafanikio ya ‘Cartman’ YouTube

Msanii nyota wa muziki wa hip hop nchini Kenya, Nyashinski, ameonyesha wazi kuunga mkono na kubariki kazi ya rapper chipukizi Toxic Lyrikali kupitia wimbo wake mpya uitwao “Cartman”. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Nyashinski alielezea kuvutiwa na ubunifu wa wimbo huo, akithibitisha kuwa anatambua na kuthamini kipaji cha msanii huyo anayeinukia. Kwa kutumia […]

Read More
 Nyashinski awabariki mashabiki zake na EP mpya

Nyashinski awabariki mashabiki zake na EP mpya

Msanii mkongwe nchini Nyashinski ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la “THERAPY. THERAPY EP ambayo ina jumla ya ngoma nne za moto, haina collabo hata moja, kwani ngoma zote Nyashinski  kapita nazo mwenyewe. Ep hiyo ina ngoma kama Night School, Kabla Tudie, Showman,Tunnel Vision na inapatikana kwenye majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani. […]

Read More
 Femi One adokeza ujio wa EP ya pamoja na Nyashinski

Femi One adokeza ujio wa EP ya pamoja na Nyashinski

Rapa Femi One ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo huenda akamshirikisha Nyashinsiki au Khaligraph Jones. Kwenye mahojiano na The Trend ya NTV rapa huyo ambaye anafanya vizuri na single yake mpya “Lip Service” amesema yupo mbioni kufanikisha hilo kwa kuwa tayari ameanza mazungumzo na marapa hao kuhusu mpango wa kufanya EP ya pamoja. Utakumbuka […]

Read More
 NYASHINSKI ATANGAZWA BALOZI MPYA WA JOHNNIE WALKER

NYASHINSKI ATANGAZWA BALOZI MPYA WA JOHNNIE WALKER

Staa wa muziki nchini Nyashinski ameingia ubia wa kufanya kazi na chapa (brand) ya Johnnie Walker kama balozi mpya wa kinywa hicho. Kupitia mitandao yake ya kijamii Hitmaker huyo wa “Properly” ameshindwa kuficha furaha yake kwa kusema kwamba atatumia nafasi hiyo kukitangaza kinywaji hicho nchi nzima Awali uongozi wa Johnnie Walker ulisema umeamua kumchagua Nyanshinki […]

Read More
 RAPPER  MKONGWE KUTOKA KENYA NYASHINSKI ADOKEZA MPANGO WA KUJENGA MJI WAKE

RAPPER MKONGWE KUTOKA KENYA NYASHINSKI ADOKEZA MPANGO WA KUJENGA MJI WAKE

Msanii nyota nchini Nyashinski ameahidi kujenga mji wake mpya  nchini Kenya, mji ambao utatumika na mashabiki zake Nyashinski ameyaweka wazi hayo Februari 13 mwaka huu kwenye moja ya performance yake iliyofanyika huko Two River Mall jijini Nairobi. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Properly” alienda mbali na kuwashauri wasanii wa muziki nchini watoa nyimbo zenye maudhui […]

Read More