TAMASHA LA NYEGE NYEGE LARUHUSIWA KUFANYIKA UGANDA
Hatimaye tamasha la kila mwaka la burudani liitwalo “Nyege Nyege” la nchini Uganda limeruhusiwa kufanyika baada ya Bunge la nchini humo kuagiza kusitishwa kufuatia madai ya uchochezi wa uasherati. Kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Uganda, waandaaji wa “Nyege Nyege” wameruhusiwa kuendelea na mipango yao juu ya tamasha hilo na limetakiwa kufanyika kwa kuzingatia taratibu […]
Read More