NYOTA NDOGO AKANUSHA TUHUMA ZA UCHAWI

NYOTA NDOGO AKANUSHA TUHUMA ZA UCHAWI

Msanii mkongwe nchini Nyota Ndogo amekanusha madai kuwa anatumia hirizi kuwarubuni wanaume wa kizungu na kufanikisha biashara zake nyingi. Akijibu shabiki aliyemshutumu kuwa amekuwa akiwatembelea ‘waganga’ ili awavutie wanaume maishani mwake kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nyota Ndogo amesema kuwa kwa upande wake hana imani na mambo ya kishirikina kwani anamuamini mungu kama mganga wake […]

Read More