Rapudo Amkingia Kifua Amber Ray Kufuatia Kashfa ya Obinna
Mfanyabiashara maarufu na mume wa sosholaiti Amber Ray,Kennedy Rapudo, amejitokeza hadharani kumtetea mkewe dhidi ya tuhuma alizoelekezewa na mwanahabari na mchekeshaji Oga Obinna. Kupitia video iliyosambazwa mitandaoni, Rapudo alieleza kutoridhishwa na jinsi Obinna alivyomkosoa Amber Ray hadharani. Rapudo alisema kuwa mke wake ni mwanamke anayejiheshimu na mchapakazi wa kweli, na kwamba hatakubali mtu yeyote kumvunjia […]
Read More