Sheebah Karungi aweka wazi manyanyaso aliyoyapitia kwenye kundi la Obsession
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Sheebah Karungi amefunguka tusiyoyajua kuhusu uhusiano wake na wasanii wa kundi la Obsessiom ambalo lilimtoa kimuziki. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema wasanii wa kundi hilo walimbana kisanaa kiasi cha kumtenga kwenye baadhi ya shughuli zao za muziki. Hitmaker huyo “Muwomya” amesema kutokana na changamoto alizopitia mikono mwa wasanii wa kundi […]
Read More