Benzema afunguka kujiondoa Ochungulo Family

Benzema afunguka kujiondoa Ochungulo Family

Msanii Benzema amejibu tetesi za kujiondoa kwenye kundi la Ochungulo Family baada  ya kuonekana akifanya kazi zake binafsi. Kwenye mahojiano na SPM Buzz Amesema yeye bado ni mwanafamilia wa Ochungulo ikizingatiwa kuwa kuna kazi nyingi ambayo wamefanya kwa pamoja kama kundi. Aidha amekanusha kuwa kwenye ugomvi na wasanii wanaounda kundi hilo kwa kusema kuwa wana […]

Read More
 NELLY THE GOOD AKIRI KUSHINDWA NA MUZIKI KISA MSONGO WA MAWAZO

NELLY THE GOOD AKIRI KUSHINDWA NA MUZIKI KISA MSONGO WA MAWAZO

Msanii wa Gengetone, Nelly the Goon amekiri hadharani kuwa anapitia wakati mgumu kwenye maisha kiasi cha kushindwa kuendelea na harakati za kuupambania muziki wake. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram msanii huyo ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba hali yake sio nzuri kwa sasa kwani ameathirika kiroho, kiakili na kiuchumi. Mwanamuziki huyo wa […]

Read More