OCTOPIZZO KUKATA KIU YA MASHABIKI NA MOTIVATION ALBUM

OCTOPIZZO KUKATA KIU YA MASHABIKI NA MOTIVATION ALBUM

Staa wa muziki wa hiphop nchini  Octopizzo ametangaza kuachia album yake mpya  inayokwenda kwa jina la “Motivation” Octopizzo ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter huku akiwawataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea album hiyo ambayo kwa mujibu wake ipo njiani. Hitmaker huyo wa “Babylon” amesema  mashabiki wanaweza kui-pre-order kupitia majukwaa ya muziki […]

Read More