MARAPA OCTOPIZZO NA KAYVO KFORCE WARUSHIANA MAKONDE KISA DISS-TRACK
Mastaa wa muziki wa Rap Nchini Octopizzo na Kayvo Kforce karibu warushiane makonde baada kuingia kwenye mzozo mkali huko Jiji Nairobi. Rappers hao ambao walikutana uso kwa uso kwenye podcast ya mwafrika iitwayo Iko Nini wameonekana katika video wakipiga kelele na kutukanana wakati wakizuiwa na Walinzi wao. Ikumbukwe Octopizzo na Kayvo Kforce wamekuwa katika bifu […]
Read More