OFFSET AISHTAKI LEBO YA QUALITY CONTROL MUSIC

OFFSET AISHTAKI LEBO YA QUALITY CONTROL MUSIC

Rapa Offset ameifungulia mashtaka label yake (Quality Control Group) kwa kukiuka makubaliano ambayo waliingia January mwaka 2021. Kwa mujibu wa TMZ Hip Hop, Offset alifungua shauri hilo Jana Jumanne akisema aliingia makubaliano na label hiyo, ya ufanyaji kazi za peke yake (solo deal) na alilipa pesa nzuri tu kwa ajili ya kupata haki zake kama […]

Read More
 CARDI B AMZAWADI OFFSET CHEQUE YA SHILLINGI MILLIONI 226

CARDI B AMZAWADI OFFSET CHEQUE YA SHILLINGI MILLIONI 226

Wakati ukichukulia poa kumbukizi ya kuzaliwa kwa mpenzi wako, huko nchini Marekani rapa Cardi B hakuwa na jambo dogo kwa Baby Daddy wake OffSet , Hitmaker huyo wa “WAP” amemsurprise mume wake Offset kwa cheque nzito ya dollar million 2 za Kimarekani kama zawadi ya Birthday yake ambayo ilikuwa Disemba 14. Kupitia instastory yake kwenye […]

Read More