COLONEL MUSTAFA ATOA YA MOYONI KUHUSU LEBO YA MUZIKI YA OGOPA DEEJAYS

COLONEL MUSTAFA ATOA YA MOYONI KUHUSU LEBO YA MUZIKI YA OGOPA DEEJAYS

Msanii mkongwe kwenye muziki wa Kenya Colonel Mustafa anazidi kufunguka tusiyoyajua kuhusu lebo yake ya zamani ya Ogopa Deejays. Katika mahojiano yake  hivi karibuni amesema karibu maamuzi magumu ya kuacha muziki baada ya lebo hiyo kuchukua umiliki wa nyimbo zake zote alizowahi kufanya kipindi cha nyuma. Hitmaker huyo wa Katika amesema kitendo hicho kilimuingiza kwenye […]

Read More