OHMS LAW MONTANA ADAI WATU WALIOKARIBU NA GAVANA JOHO WALIKUWA KIZINGITI KWA SAFARI YAKE YA KWENDA MAREKANI

OHMS LAW MONTANA ADAI WATU WALIOKARIBU NA GAVANA JOHO WALIKUWA KIZINGITI KWA SAFARI YAKE YA KWENDA MAREKANI

Msanii wa HipHop nchini Ohms Law Montana amefichua kuwa watu wa karibu na gavana Ali Hassan Joho ndio waliosambaratisha safari yake ya kuenda nchini Marekani hata baada ya Gavana huyo kumkatia tiketi ya kuelekea nchini Marekani. Katika mahojiano yake hivi karibuni Ohms Law Montana amesema Gavana Joho aligharamia nauli yake ya usafari ila hakupewa tiketi […]

Read More