MUME WA ZAMANI JENIFFER LOPEZ ATOA YA MOYONI KUHUSU NDOA MPYA YA MWANAMAMA HUYO
Aliyewahi kuwa mume wa mwanamuziki Jennifer Lopez, Bw. Ojani Noah halioni penzi na ndoa ya Ex wake JLo na Ben Affleck likidumu, anadai wataachana tu. Ojani Noah amesema ndoa ya wawili hao haitodumu kutokana na tabia ya mwanamama Jennifer Lopez kuwahi kuzama kwenye mapenzi yaani mwepesi wa kupenda kwa haraka. Kupitia mahojiano na Dail Mail, […]
Read More