Okello Max Akiri Kudanganya Kuhusu Kuwa na Watoto

Okello Max Akiri Kudanganya Kuhusu Kuwa na Watoto

Msanii wa R&B na Afrobeat kutoka Kenya, Okello Max, amekiri kudanganya kuhusu kuwa na watoto, jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiwachanganya mashabiki wake. Katika mahojiano na mtangazaji Shiksha, Okello Max amefafanua kuwa watoto waliowahi kuonekana naye mara kwa mara si wake, bali ni ndugu wa mchumba wake. Hitmaker huyo wa Taya, ameeleza kuwa shinikizo […]

Read More
 Willy Paul Ampa Okello Max Ushauri Kuhusu Wanawake

Willy Paul Ampa Okello Max Ushauri Kuhusu Wanawake

Msanii nyota wa muziki wa Kenya, Willy Paul, ametoa ushauri kwa msanii Okello Max, akimtaka kuzingatia nidhamu ya maisha ili kuimarisha safari yake ya muziki. Katika ujumbe wake, Willy Paul alimpongeza Okello Max kwa kipaji chake cha kipekee, akisema ana uwezo mkubwa wa kisanaa na nafasi kubwa ya kufanikisha ndoto zake. Hata hivyo, alieleza kuwa […]

Read More
 Okello Max Aachia Albamu Mpya “Healing” Yenye Nyimbo 15

Okello Max Aachia Albamu Mpya “Healing” Yenye Nyimbo 15

Msanii maarufu wa muziki wa Kenya, Okello Max, ameachia rasmi albamu yake mpya inayokwenda kwa jina “Healing”, yenye jumla ya nyimbo 15. Albamu hiyo inajumuisha ushirikiano na wasanii mbalimbali maarufu wakiwemo Watendawili, Breeder LW, Vijana Baru Baru, Christin Bella kutoka Tanzania, pamoja na Mordecai Dexx. “Healing” inaelezwa kuwa mradi wa kipekee unaogusa maisha na mapenzi, […]

Read More
 Okello Max aachia rasmi Album yake mpya

Okello Max aachia rasmi Album yake mpya

Mwanamuziki kutoka Kenya Okello Max ameachia rasmi Album yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. Album hiyo inakwenda kwa jina la Boss ina jumla ya nyimbo 15 na bonus track moja ambapo amewashirikisha wakali kama Bassman, Bonysun, Suzanna Owiyo, Femi One, Bien Bensoul, Coster Ojwang’, Jocelina, Charisma na Watendawili. Boss Album  ina nyimbo kama  Pull Up, Nipe Nafasi, Kuwa na Wewe, Kungfu,Boss […]

Read More