Omah Lay Aonya Kuhusu Mafundisho Potofu Katika Dini

Omah Lay Aonya Kuhusu Mafundisho Potofu Katika Dini

Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Omah Lay, ametoa maneno ya ushauri kwa mashabiki wake, akiwataka kuzingatia maisha yao binafsi na kutafuta ukweli. Katika ujumbe wake Instagram, msanii huyo alisema wazi kuwa watu hawapaswi kuendeshwa kiholela na baadhi ya viongozi wa kidini, akiwataja kuwa β€œwajinga” wanaoweza kupotosha na kuondoa watu kwenye njia ya ukweli. Omah Lay alisisitiza […]

Read More
 PENZI LA TANASHA DONNA NA OMAH LAY  LAKOLEA MITANDAONI

PENZI LA TANASHA DONNA NA OMAH LAY LAKOLEA MITANDAONI

Moja kati ya headlines zinazo gonga vichwa vya habari mtandaoni ni issue inayomtaja mwanamuziki wa Nigeria Omah Lay kutoka kimapenzi na staa wa muziki nchini Tanasha Donna, sakata ambalo kila mtu analizungumzia katika namna yake. Katika nyakati tofauti tofauti kwa pamoja kupitia insta story zao kwenye mtandao wa Instagram Wawili hao wameshare picha zinazo onekana […]

Read More