Ommy Dimpoz Azua Gumzo Mtandaoni Kuhusu mipaka ya mahusiano ya kimapenzi
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuchapisha ujumbe wenye utata kupitia Insta Story yake, ambao umewasha moto wa mijadala mitandaoni kuhusu maadili, uaminifu, na mipaka ya mahusiano ya kimapenzi. Katika ujumbe huo, Ommy alionyesha msimamo wake kuhusu wanawake wanaokubali msaada wa chakula kutoka kwa wanaume […]
Read More