Samsung Yaanza Kutoa Toleo Jipya la Mfumo wa One UI 7 kwa Galaxy A53
Kampuni ya Samsung imeanza kutoa toleo jipya la mfumo wa One UI 7 kwa watumiaji wa simu ya Galaxy A53. Mfumo huu mpya umejengwa kwa kutumia Android 15 na una ukubwa wa takriban GB 3.4. Baadhi ya watumiaji duniani tayari wameanza kupokea marekebisho haya ya mfumo, na watumiaji wa Afrika Mashariki wanatarajiwa kuupata katika siku […]
Read More