OpenAI Yazindua Browser Mpya Inayotumia Akili Bandia
Kampuni ya OpenAI, inayojulikana kwa kutengeneza programu maarufu ya ChatGPT, imezindua browser mpya ya kisasa inayoitwa Atlas, ambayo inatarajiwa kushindana na Google Chrome na browsers zingine kubwa duniani. Atlas ni browser inayotumia akili bandia (AI) kufanya kazi mbalimbali za mtandaoni kwa ufanisi na kwa kasi zaidi. Tofauti na browsers za kawaida, Atlas inaweza kusoma kurasa […]
Read More