OSCAR ADAI BRUNO K ALIKIMBIA NA PESA ZOTE WALIZOPOKEA KUTOKA KWA WAHISANI
Siku chache zilizopita msanii Bruno K alimtoa mwimbaji wa zamani wa Bigtym, Oscar kutoka kwenye lindi la umaskini. Hitmaker huyo wa Omulwa alimchuka msanii huyo na akaanza kumpa support, huku akiongoza kampeni ya kufufua kipaji chake cha muziki ambacho kilikuwa kimefifia. Sasa baada ya Oscar kupata afueni ameibuka na kumshutumu vikali Bruno K kwa madai […]
Read More