MUME WA MAREHEMU OSINACHI NWACHUKWU AKAMATWA
Mume wa marehemu Osinachi Nwachukwu, amekamatwa kufuatia kifo cha mwimbaji huyo wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria. Msemaji wa polisi mjini Abuja amenukuliwa na tovuti za Daily Trust and Punch akithibitisha kukamatwa kwa Peter Nwachukwu baada ya malalamiko kutoka kwa kaka ya mwimbaji huyo. Kukamatwa kwa Peter Nwachukwu kumukuja mara ya baada tetesi kusambaa mitandaoni […]
Read More