OTILE BROWN ADAI MBOSSO NA ZUCHU WAMEIBA MELODY YA WIMBO WAKE
Nyota wa muziki Otile Brown ameingia kwenye headline katika mitandao ya kijamii mara baada ya kudai kuwa Mbosso ameiiba idea ya wimbo wake na kuitumia kwenye wimbo wake mpya uitwao”For You Love” ambao amemshirikisha Zuchu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Otile Brown amedai kwamba Mbosso na Zuchu waliiba mdundo wa wimbo wake uitwao “Baby Love” […]
Read More