Ousmane Dembélé Ashinda Ballon d’Or kwa Mara ya Kwanza

Ousmane Dembélé Ashinda Ballon d’Or kwa Mara ya Kwanza

Mchezaji wa klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameibuka mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, na kujiunga na orodha ya wanasoka wakubwa duniani waliowahi kushinda tuzo hiyo ya heshima. Dembélé, mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa mwenye umri wa miaka 28, aling’ara msimu uliopita […]

Read More