Nadia Mukami Afunguka Sababu ya Kuahirisha Harusi Yake na Arrow Bwoy
Msanii maarufu wa muziki wa Kenya, Nadia Mukami, amefichua kwamba yeye na mchumba wake, Arrow Bwoy, walilazimika kuahirisha harusi yao baada ya kugundua kwamba walikuwa wanatarajia mtoto wao wa pili. Kupitia mahojiano ya hivi karibuni, Nadia ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Overdose’ alieleza kuwa walikuwa tayari wameweka mikakati yote muhimu kwa ajili ya […]
Read More