P-SQUARE WADOKEZA MPANGO WA KUWEKA HISTORIA O2 ARENA

P-SQUARE WADOKEZA MPANGO WA KUWEKA HISTORIA O2 ARENA

Nyota wa muziki nchini Nigeria ambaye anaunda kundi la P-Square, Peter Okoye, ameweka wazi kuwa P-Square wana uwezo wakufanya matamasha bila kuachia kazi mpya na yakafanya vizuri. Haya yanajiri baada ya wakali hao kuwakata mashabiki kuchagua kati ya ukumbi wa O2 Arena ama uwanja wa Wembley nchini Uingereza waende wakafanye show yao. Maoni ya mashabiki […]

Read More