Paa Kwaci atangaza ujio wa ziara yake ya muziki nchini Marekani
Mwanamuziki Paa Kwaci ametangaza kuja na ziara yake ya nchini Marekani kuanzia mwezi Februari mwaka 2023. Akizungumza na tovuti ya UrbanSpice msanii huyo mwenye makaazi nchini Canada amesema kwa sasa yupo kwenye matayarisho ya mwisho kukamilisha mipango ya tour yake hiyo. Licha ya kutoanika mkeka wa miji ambayo ziara yake hiyo itapita, amesema aliamua kuja […]
Read More