Pallaso Amshambulia Bebe Cool Baada ya Urafiki Kudorora

Pallaso Amshambulia Bebe Cool Baada ya Urafiki Kudorora

Msanii nyota wa muziki nchini Uganda, Pallaso, amemshambulia vikali Bebe Cool, akimtuhumu kuwa mtu mwenye ubinafsi, chuki, na asiyethamini wasanii wenzake. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha televisheni nchini humo, Pallaso amefichua kuwa licha ya kupatanishwa na Bebe Cool mwaka jana kupitia ushawishi wa Jose Chameleone, urafiki wao haukudumu kwa muda mrefu. Ameeleza kuwa alikubali kutumbuiza bila […]

Read More
 PALASSO AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA ROGER LUBEGA

PALASSO AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA ROGER LUBEGA

Msanii nyota kutoka Uganda Pallaso amefunguka uhusiano wake na meneja wa Spice Diana, Roger Lubega. Katika mahojiano yake hivi karibuni Pallaso amesema kwa miaka ambayo amefanya kazi na Roger Lubega amekuwa mtu mwema, kwani amekuwa mstari wa mbele kupigania tasnia ya muziki nchini uganda. Kauli ya Gravitty omutujju imekuja siku chache baada ya Gravity Omutujju […]

Read More
 PALASSO AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA, TEAM NO SLEEP

PALASSO AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA, TEAM NO SLEEP

Mwanamuziki kutoka uganda Palasso amemtambulisha msanii wake mpya kwenye lebo yake ya muziki ya Team No Sleep. Kupitia ukurasa wake wa Twitter  amesema msanii wake anaitwa Carolina huku akimwagia sifa kwamba ana kipaji cha kipekee, hivyo ana Imani kuwa ataipeleka lebo yake kwenye ngazi ya kimataifa.. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Malamu” amesema Carolina atakuwa chini ya lebo ya […]

Read More
 PALASSO KUANZA GOLDEN TOUR NCHINI UGANDA MACHI 6 2022

PALASSO KUANZA GOLDEN TOUR NCHINI UGANDA MACHI 6 2022

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Palasso anatarajia kuaza tour yake nchini humo ambayo itakuwa na show 25 kwa kipindi cha mwezi mmoja. Kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram Palasso, ameipa ziara hiyo jina la Golden Tour  na itaanza machi 6  hadi machi 31 mwaka wa 2022. Ziara hiyo inatarajiwa kuzunguka kwenye miji mbalimbali nchini Uganda ikiwemo […]

Read More