PAPA CIDY AWAOMBA MASHABIKI KUCHANGA SHILLINGI MILLIONI 3.2 ZA KENYA KWA AJILI YA KUFUFUA MUZIKI WAKE
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Papa Cidy ametoa wito kwa mashabiki zake kuanzisha kampeini ya kuchangisha shillingi millioni 3.2 za Kenya zitakazomsaidia kufufua muziki wake. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni Papa Cidy amesema nyimbo zake hazijakuwa zikipigwa kwenye vituo vya redio na runinga kwa sababu hana pesa za kutosha za kusukuma kazi zake za muziki. […]
Read More