NYUMBA YA MAREHEMU PAPA WEMBA YATAMBULIWA RASMI NA UNESCO
Nyumba ya nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, marehemu Papa Wemba imefunguliwa rasmi Aprili 24. Nyumba hiyo ilinunuliwa na serikali ya DRC na sasa imekuwa “Hifadhi ya Rhumba”. Papa Wemba, alianguka na kufariki jukwaani akiwatumbuiza maelfu ya mashabiki wake waliojitokeza katika tamasha la muziki mjini Abidjan nchini […]
Read More