Pastor T Amkosoa Bahati Baada ya Wimbo Wake “Seti” Kuzua Mjadala Mkali
Mhubiri maarufu Pastor T Mwangi amemtolea uvivu msanii Bahati kufuatia wimbo wake “Seti”, ambao umekosolewa na sehemu kubwa ya Wakenya kwa maudhui yake yanayoonekana kuwa ya utata na ukosefu wa maadili. Kwenye video inayosambaa mtandaoni, Pastor T amesema kuwa amesikitishwa na mwelekeo wa Bahati na wasanii wengine wanaotumia maudhui tata ili kupata umaarufu wa haraka. […]
Read More