Familia yaruhusu Patonee kuchangiwa gharama ya matibabu

Familia yaruhusu Patonee kuchangiwa gharama ya matibabu

Familia ya mwanamuziki mkongwe nchini Kenya, Patonee imekubali achangiwe fedha za matibabu wakati huu anaendelea kuhudumiwa hospitalini. Kulingana familia ya msanii huyo, patonee ambaye alikimbizwa hostipali Oktoba mosi mwaka huu yupo kwenye hali mbaya katika katika chumba cha uangalizi maalumu wa wagonjwa (ICU) ambapo gharama ya matibabu yake inazidi kuongezeka kadri siku zinaposonga mbele. Hata […]

Read More