Patoranking Aitembelea Kambi ya Borussia Dortmund Florida

Patoranking Aitembelea Kambi ya Borussia Dortmund Florida

Mwanamuziki nyota kutoka Nigeria, Patoranking, leo ametembelea kambi ya mazoezi ya klabu ya Borussia Dortmund iliyoko Fort Lauderdale, Florida, Marekani. Kupitia kurasa rasmi za Borussia Dortmund, picha kadhaa zimeonesha msanii huyo akikutana na wachezaji wa timu hiyo, akisalimiana nao na kubadilishana mawazo. Uongozi wa klabu hiyo umeeleza kufurahishwa na ujio wa Patoranking, wakisema ilikuwa heshima […]

Read More
 Patoranking kutumbuiza kwenye Kombe La Dunia 2022 huko Qatar

Patoranking kutumbuiza kwenye Kombe La Dunia 2022 huko Qatar

Mwimbaji nyota wa muziki kutoka Nigeria, Patoranking ambaye kwa sasa anafanya vizuri na smash hit yake Kolokolo akiwa na Diamond Platnumz, anatajwa kuwa atatumbuiza kwenye Kombe La Dunia 2022 huko Qatar mwezi huu katika tamasha la FIFA Fan tarehe 28. Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika katika uwanja wa Albidda Park wakati wa siku 29 za mashindano ya Kombe […]

Read More