Kajala aweka wazi matamanio ya kupata mtoto
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Kajala ameweka wazi matamanio ya kupata mtoto wa pili ikiwa ni miaka 21 tangu kuzaliwa mtoto wake wa kwanza, Paula. Kupitia insta story yake amesema hatatumia tena madawa ya kuzuia mimba ya P2. “Nafikiri sasa ni muda sahihi wa kupata mdogo wako Dada Paula. Hakuna kutumia P2 tena, niko tayari […]
Read More