Cape Verde yaupa uwanja jina la Pele

Cape Verde yaupa uwanja jina la Pele

Serikali ya Cape Verde imekuwa nchi ya kwanza ulimwenguni kuupa uwanja wake wa Taifa jina la gwiji wa soka ulimwenguni, Pele, kama ambavyo Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino alishauri nchi wanachama kufanya hivyo. Akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga Pele Jumatatu wiki hii, Infantino alitoa rai kwa nchi wanachama wa FIFA […]

Read More
 Mwili wa Pele kuagwa leo

Mwili wa Pele kuagwa leo

Mwili wa gwiji wa soka wa Brazil, Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele utaagwa leo ukiwa katikati ya uwanja wa klabu ya Santos wa Vila Belmiro kwa masaa 24. Mazishi ya gwiji huyo yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumanne katika uwanja huo unaotumiwa klabu hiyo ambayo Pele aliitumikia kwa sehemu kubwa ya maisha ya kandanda. Jeneza […]

Read More
 Pele kuagwa jumatatu nchini Brazil

Pele kuagwa jumatatu nchini Brazil

Taifa la Brazil limeanza rasmi siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha nguli wa soka nchini humo, Edson Arantes do Nascimento maarufu Pelé aliyefariki jana Alhamisi baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu. Shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu itafanyika Jumatatu ijayo kwa saa 24 katikati ya uwanja wa Santos, ambako ndiyo klabu ya Pelé […]

Read More
 Mkongwe wa soka Dunia Pele afariki dunia

Mkongwe wa soka Dunia Pele afariki dunia

Gwiji la Soka Duniani Edson Arantes do Nascimento maarufu kama PELE amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. Kifo cha mwanasoka huyo, kimethibitishwa na binti yake Kely Nascimento kwenye Instagram. Mchezaji huyo wa hali ya juu alikuwa akitibiwa saratani ya utumbo mpana tangu mwaka 2021. Pele anayetajwa kama miongoni mwa Wachezaji wa soka wa […]

Read More