PENZI LA NOTI FLOW NA KING ALAMI LAFUFUKA TENA

PENZI LA NOTI FLOW NA KING ALAMI LAFUFUKA TENA

Waswali wanasema Penzi ni kikohozi na halifichiki msemo huo umethibitishwa na mwanamuziki Noti flow  mara baada ya kuandika ujumbe ambao umetafisiriwa na wajuzi mambo kwenye mitandao ya kijamii kuwa huenda msanii huyo amerudia na mpenzi wake mwanadada King Alami. Kupitia ukurasa wake wa instagram Noti Flow amepost picha ya King Alami akiwa amechora tattoo ya […]

Read More