PENZI LA SHAWN MENDES NA CAMILA CABELLO LIMEFIKIA KIKOMO.

PENZI LA SHAWN MENDES NA CAMILA CABELLO LIMEFIKIA KIKOMO.

Wanamuziki maarufu wa nyimbo za ‘Pop’ Shawn Mendes na Camila Cabello wametangaza kuachana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka miwili. Wasanii hao wawili kutoka bara la America wametumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kutangaza uamuzi wao wa pamoja wa kusitisha uhusiano wa kimapenzi. Hata hivyo, Mendes na Camilla wamehapa kuendelea na urafiki wao licha ya kufika tamati kwa mahusiano yao.

Read More