Pepe Reina Atangaza Kustaafu Rasmi Baada ya Miaka 26 ya Soka
Golikipa mkongwe wa Kimataifa, Pepe Reina, ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kulipwa hii leo, akihitimisha safari ya kipekee ya miaka 26 langoni. Reina, ambaye aliwahi kuichezea vilabu vikubwa barani Ulaya ikiwemo Liverpool, Bayern Munich na AC Milan, ameachana rasmi na soka akiwa na umri wa miaka 41. Reina alianza kung’ara akiwa na klabu ya […]
Read More