Perplexity Yajitokeza kwa Ofa Kubwa ya Kununua Chrome

Perplexity Yajitokeza kwa Ofa Kubwa ya Kununua Chrome

Kampuni ya Perplexity, inayojulikana kwa app yake inayoshindana na ChatGPT, Grok, na DeepSeek, imeweka ofa ya Dola Bilioni 34.5 kununua browser maarufu ya Chrome. Google inahofia kuuza browser hii kwani inatumia Chrome kujiwekea faida, kuweka matangazo, na kukusanya data nyingi za watumiaji duniani. Hadi sasa, Google haijaonyesha muamko rasmi, na ina mpango wa kukata rufaa […]

Read More