Peter Miracle Baby Afunguka kwa Uchungu Jinsi KRG The Don Alivyomdhalilisha Mtandaoni

Peter Miracle Baby Afunguka kwa Uchungu Jinsi KRG The Don Alivyomdhalilisha Mtandaoni

Msanii aliyegeukia muziki wa mugithi, Peter Miracle Baby, amefunguka kwa uchungu namna msanii KRG The Don alivyodhalilisha mtandaoni kwa maneno makali kipindi ambacho afya yake ilikuwa imedhoofika. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Peter amesema kuwa alikuwa mlegevu na amelala kitandani hospitalini wakati KRG alipotumia maneno yaliyomuumiza kihisia na kumuathiri kisaikolojia. Amedai kuwa kipindi hicho alikuwa hana […]

Read More
 Peter Miracle Baby Afichua Ukweli Kuhusu Mtoto wa Shalkido

Peter Miracle Baby Afichua Ukweli Kuhusu Mtoto wa Shalkido

Mwanamuziki Peter Miracle Baby, memba wa kundi la Sailors, amepuuzilia mbali madai kuwa marehemu Shalkido aliacha mtoto, akisisitiza kuwa taarifa hizo si za kweli. Akizungumza kwenye mitandao ya kijamii, Miracle Baby ameonekana kukerwa na kitendo cha mwanamke mmoja kujitokeza mtandaoni na kudai alizaa mtoto na Shalkido, akisema madai ya mwanamke huyo hayana msingi wowote kwani […]

Read More
 BABA MZAZI WA PETER MIRACLE BABY ALIA KUPITIA MAISHA MAGUMU, AOMBA MSAADA WA KIFEDHA

BABA MZAZI WA PETER MIRACLE BABY ALIA KUPITIA MAISHA MAGUMU, AOMBA MSAADA WA KIFEDHA

Wakati msanii Peter Miracle Baby anaendelea kufanya vizuri kwenye muziki wa Mugithi, kumbe Baba yake mzazi hana makazi na anapitia maisha magumu sana mtaani. Kupitia video ambayo inasambaa mtandaoni Mzee David Ndolo maarufu Notorious, ameonekana mtaani akiomba msaada kwa kijana wake huyo ambaye hawana mahusiano mazuri. Mzee huyo amesema kuwa hafurahishwi kabisa na maisha anayoishi […]

Read More
 PETER MIRACLE BABY AKANUSHA MADAI YA KUWA NA WANAWAKE WENGI

PETER MIRACLE BABY AKANUSHA MADAI YA KUWA NA WANAWAKE WENGI

Msanii wa Sailors Gang Peter Miracle Baby kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu tuhuma zilizokuwa zikimuanda za kuwatelekeza wanawake aliozaa nao. Katika mahojiano na Mungai Eve, Miracle Baby amekanusha madai ya kuwa na wanawake wengi kwa kusema kwamba wanawake wote waliokuwa wanadai amepata nao watoto kwenye mitandao ya kijamii walikuwa wanatumia jina lake kujitafutia umaarufu […]

Read More